VIPENGELE VYA KISASA
Kila Unachohitaji Kwa Uendeshaji Bora
POS Sales
Uendeshaji wa mauzo kwa kasi na ankara za kitaalamu.
Inventory Management
Dhibiti stoku kwa wakati halisi, arifa za bidhaa chache.
Barcode Support
Soma bidhaa haraka kwa barcode au QR.
Profit Reports
Ripoti za faida na hasara kwa kina kirefu.
Expense Tracking
Fuatilia gharama ili kuongeza ufanisi.
AI Business Insights
Uchambuzi wa mauzo na utabiri wa akili bandia.
Multi User Access
Wafanyakazi wengi, viwango tofauti vya ruhusa.
Mobile App Support
Endesha biashara yako kutoka Android au iOS.
MWONGOZO RAHISI
Jinsi Inavyofanya Kazi
1
Jiunge Bure
Jaza maelezo yako na uanze jaribio la siku 14.
2
Sanidi Bidhaa/Stoku
Ongeza au hamisha bidhaa kwa barcode, bei, na kiasi.
3
Anza Kuuza & Kuchambua
Fanya mauzo, fuatilia faida, na upate maarifa ya AI.
CHAGUA MPANGO
Vifurushi vya Bei Nafuu
Miezi 6
TZS 80,000
kwa miezi 6 (Akiba)
- Vipengele vyote vya mwezi
- Ripoti za kina
- Msaada wa haraka
BEST VALUE
MOST POPULAR
Mwaka Mzima
TZS 150,000
TZS 180,000
Okoa TZS 30,000
- Analyics za AI na upendeleo
- Usaidizi wa kipaumbele 24/7
- Mafunzo ya biashara bure
- Nyongeza za siku zijazo
MAWASILIANO YETU
Wasiliana Nasi Sasa
Timu yetu iko tayari kukusaidia kwa maswali yoyote, usaidizi wa kiufundi au maoni.
Tayari Kuinua Biashara Yako?
Jiunge na zaidi ya wafanyabiashara 500 wanaotumia MauzoSheetAI